DJ Rach...hujambo lakini..ningependa sana ku load hii website yako .lakini napenda kuskiza kabla sija download ni wapi nita skiza ....?

Vizuri kutuletea ngoma za GENGE kwa KIG nazitamani sana.....tena nina request please Mr.DJ.......nitumie nyimbo za Yvonne Chakachaka kama waeza

ile Nyimbo " Thank you Mr.DJ for playing my song......

umeshika sio? "Jah Luv"..and peace!