@ Blacknyeusi, imagine wewe in a BOD containing six members. Kama kuna camera inachukua watu 5 pekee. kaa kuna dishi inaletwa ya watu tano. whyyyyyyyyyyyy?ß we jus cant c uuuuuuuuuuu buddddddddddddy
Lol. wat is wrong with u kenyan men?she wanted a jamaa,and now munalenga hiyo story,and if she goes to jujumen,u will all complain.she said,she need a man!!
weee 'TAR', mbona hawa wasee wanakuonea hivo jo.... Waambie utavaa shirt ya white, lazima Secretary General atokee kwa picha, au sio...
......Jungs, one of em being my right hand man Njoro(after i defeat him) seconded by Skillz n Dj(after they get dumped) . sooooo lete hizo details na utasaidika.....
Milele naona hawa wasee(including u ) are takin my kindness for weakness. wacha waone. infact hiyo siku natokea will smith style MIB. kisha nanyemelea each one of you na kumgonga ngoto . anyway milele, lets these sons of men(including you have some fun on my account) watalipa vilivyo when they fail to spot me in a crowd of one (including u9
Double I, my friend utakonda sana, ukingoja skillz na DJ to get dumped, wasee wasolide kama sisi don't just get dumped kama maganda ya ndizi kwa bio tonne, utakonda sana
First come first serve.Those hitting my PM wanapata all info required. Mlango bado u wazi, hamna wasiwasi.