Who have some ideas on how someone from kenya can make his or her way to Dubai?bitte danke
qualification yake ni gani
apply 4 ajob then the visa will be processed by the employer.
hizi jobs mtu huziget aje
mostly ni kazi za hoteli na hizo huwa advertised kwa paper ya home.
To go to Dubai is very easy,en the good thing about it is that u dont need alot of paper work,unaweza hata kwenda kuwa Zimmer mädchen ama watchie kwa 5star hotel,its a Stepping stone for better en greater things in lyf Lakini B4 going to Dubai u better go to VCT,coz b4 giving u a Viza they´ll check en if they find out uko nayo they deport you immediately
Kwani that country is AIDS free aje?
ja and if you are expecting pia unafaxiwa haraka
Aii usipate AIDS na usipate mtoi na hao ni muslims so pia hakuna contraceptives so in short Sex is illegal
Wacha waarabu watu wengine wa papa hapa KIG hawawezi toboa