Sasa mkisema words ngumu kama hizo, ni ngumu kwangu. my Grand parents moved to nai in 1946 sooooo mambo ya kiihuri.. na mataha.....
Basi jua leo Mataha ndioo jina enyewe ...
Poa thanx sasa nimejua , so nani analeta mataha picnic?
soulstar thats why she was asking for the rezept
Genau wacha awapikie
Analeta na kiihuri???
sisisi
let it be a surprise
As long as isije ikawa zile surprises that leave you surpised for life
mwanadada wasema nii?
Hiyo ni nini dada??
Hapo niliafikiria Mataha mate yalikuwa yani toka ndio maana ya sisisi ...kutamani