Hey guys sorry but you will have to wait a little longer. It seems my arrival in ujero has been delayed. The Jaluos on this end have barred Mombasa Road and there are no flights to anywhere so until things cool down, am stuck in Nai. I will keep you posted, if i get there i will give you details of where i will be.
iko online-shop popote huku Ujeru ?Tunaishi ushago karibu na Rostock na zile braids ya afro shop ni expe sana.
yaani pia area code kama hio kuna nyeuthi here's a sitehttp://www.wave24.de/
sihata wewe uko Ocha
Ulileta Braids
kuna ... lakini the most are mawesti. Kitambo huko Rostock wameperform african parties poa sana. Lakini sasa social place hapo imefunguliwa na imekuwa Wäscherei.Ahsante kwa link yako, lakini sijapata braids katiika hiyo website, shampoo na kadhalika tu.Na sasa hiyo link haifani kazi tena.
http://www.afroshop.info/index.php?cPath=76&osCsid=fe984715be5dc7d94403b13119b8fb9e
Muthokoi kwani in another life you were a chick?? Leo nimeenda tao nikaona chali mwingine kwa Peek and Cloppenburg akishop na Dame nikafikiri ni wewe
ati if i was a chic nikuzoea kupeleka my ladies shopping...
Unapenda kwenda shopping ungekuwa unaforciwa hungekuwa unakumbuka,sasa hizo za websites hizo ulitoa wapi na usiseme uliforciwa ufunguwe hiyo site
sipendi kuenda shopping lakini saa zingine lazima ufurahishe manzi yako...si nyinyi husema its the little things that mean a lot hiyo site nimei google up...i didnt know it before today
I was worried how come you know all this info.Ahsante lakini but for the people in Bcity kuna Asian afro shop thats very cheap at osloer str
do they shuka nywele kwa hio shop hii afro inaniuma kichwa