Juzi Juzi sato iliyopita nimesikia kwa earedio a song iliyonitouched juu
mama mercy masikini, ...
palikuwa mama fulani wa jina ni mama mercy,
shida yake ni kuwa tu alitaka kujifungua
alipofika hosipitali walimwambia mama mercy
utatoa tu kitu kidogo ili tufanye kazi
masikini mama mercy alisema hana kashi mani
wakamwambia utangoja hadi utakapofikiwa
alilia woi woi woi woi woi
... halafu presenter amfade to the next song
Someone anayeijua hii song ?